Japanese/English     

OUR WISH IN SWAHILI   

                             Gordon O.Nyabade

1.Kama juu vichwani,hakungerushwa mizinga na bomu
 Bali virushwe vitabu na vikaratazi.
 Tutakombolewa tokana na upumbavu na kutojua
 Na hivyo tutakomesha vita kisha tuishi kwa Amani

2.Kama ulimwenguni,hakukua sauti za bomu,ijapokua tu
zauti za nyimbo,
 Hatungehofu ugaidi na fitina.Na hivyo tutaweza kuimba
nyimbo za ukombozi

3.Kama udongoni ndani hakukua mazishi,bomu za chini
nakadhalika,Bali tu mbegu za ngano na mahindi,
 Hatutatezeka kutokana na njaa na majiraha,Bali
tutashiriki kwa kila kitu pamoja pamoja na kuishi
pamoja katika amani

4.Kama kuna tarajio lolote,Basi tuwache vita kamwe,Na
tuweke ulimwengu kote ujae na upendo na amani.Hadi
tarajio letu likamilike,bado tutakua
vitani,tukifuatisha kila moja katika ulimwengu huu.

5..If the global world,Can hear my humble cry
  Join me cry for Peace,Yes Peace love and unity
  No matter what our races,color or creed
  Dear Africa,Europe or Asia
  Lets live together in PEACE.

5.Kama kote duniani,Kilio kisikike
  Tuungane pamoja,Mataifa zote kwa Amani
  Pasipo kujali rangi,mila na dini zetu
  Africa,Uropa na Ashiya
  Tuishi pamoja kwa AMANI.

 

 

Copyright (C) 2003JEARN Hyogo.All right reserved.